Ezekiel 15:6
6
“Kwa hiyo hili ndilo
Bwana
Mwenyezi asemalo: Kama nilivyoutoa mti wa mzabibu miongoni mwa miti ya msituni kuwa nishati kwa ajili ya moto, hivyo ndivyo nitakavyowatendea watu waishio Yerusalemu.
Copyright information for
SwhNEN